Posts
NDOTO YAKO YA KUMILIKI KAMPUNI YA UTALII, HOTELI AMA SALOON YA KIMATAIFA INAWEZEKANA! Kitu cha muhimu zaidi unachohitaji kwa kuanzia ni elimu juu ya unachotaka kufanya. Inawezekana kabisa kwa sababu uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi sana, na moja ya matokeo ya kukua kwa uchumi ni KUONGEZEKA KWA FURSA! HAPPYLIFE COLLEGE ni chuo cha kitanzania na kinamilikiwa na mtanzania, pia kimesajiliwa na VETA! Hapa unaweza kujifunza masuala ya UTALII, USUSI au MAPISHI kwa mda mfupi (miezi 6) ama muda mrefu (miaka 2)na ukapata ujuzi unaokutosha kujua namna ya kuifanikisha ndoto yako. Vyeti utakavyopewa vinatambulika kitaifa! Ukijisajili nasi,tutakupa mafunzo ya matumizi ya Kompyuta BURE!! TUNAIJALI NDOTO YAKO! NJOO TUONGEE... TUPIGIE AU TUANDIKIE SMS:
- Get link
- X
- Other Apps
Chuo chini ya VETA kinatoa mafunzo ya mapishi juaa vitu mbali mbali ambavyo vina fanyika kwenye mahoteli makubwa yani 2 START, 3 STAR NA 4 STAR
- Get link
- X
- Other Apps
TANGAZO KWA WAHITIMU WA DARASA LA SABA NA FORM FOUR WALIOPO NYUMBANI BADO NA WANGEPENDA KUJIFUNZA MASOMO YA UTALII(TOURISM) , HOTELIA( HOUSE KEEPING, COOKERY, FOOD PRODUCTION AND BEVERAGES), USUSI( HAIR DRESSING AND BEAUTY) NA UALIMU WA WATOTO WADOGO......BADO TUNAPOLEA WANAFUNZI!!NJOO UJIANDIKISHE... 📞0768043682
- Get link
- X
- Other Apps
Our vision: To be a premier source of education, training and economic development that will enable our students to successfully enter the workforce.
- Get link
- X
- Other Apps
CHUO KIPO ARUSHA BARABARA YA OLD MOSHI UKITOKEA MJINI UNASHUKA KITUO CHA BOMA LA SIARA, UTAPOKELEWA
- Get link
- X
- Other Apps