NDOTO YAKO YA KUMILIKI KAMPUNI YA UTALII, HOTELI AMA SALOON YA KIMATAIFA INAWEZEKANA! Kitu cha muhimu zaidi unachohitaji kwa kuanzia ni elimu juu ya unachotaka kufanya. Inawezekana kabisa kwa sababu uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi sana, na moja ya matokeo ya kukua kwa uchumi ni KUONGEZEKA KWA FURSA! HAPPYLIFE COLLEGE ni chuo cha kitanzania na kinamilikiwa na mtanzania, pia kimesajiliwa na VETA! Hapa unaweza kujifunza masuala ya UTALII, USUSI au MAPISHI kwa mda mfupi (miezi 6) ama muda mrefu (miaka 2)na ukapata ujuzi unaokutosha kujua namna ya kuifanikisha ndoto yako. Vyeti utakavyopewa vinatambulika kitaifa! Ukijisajili nasi,tutakupa mafunzo ya matumizi ya Kompyuta BURE!! TUNAIJALI NDOTO YAKO! NJOO TUONGEE... TUPIGIE AU TUANDIKIE SMS:

 


Comments