Posts

Showing posts from October, 2020

HAPPYLIFE COLLEGE THE CHARACTER FOR SUCCESS

Image
 

NDOTO YAKO YA KUMILIKI KAMPUNI YA UTALII, HOTELI AMA SALOON YA KIMATAIFA INAWEZEKANA! Kitu cha muhimu zaidi unachohitaji kwa kuanzia ni elimu juu ya unachotaka kufanya. Inawezekana kabisa kwa sababu uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi sana, na moja ya matokeo ya kukua kwa uchumi ni KUONGEZEKA KWA FURSA! HAPPYLIFE COLLEGE ni chuo cha kitanzania na kinamilikiwa na mtanzania, pia kimesajiliwa na VETA! Hapa unaweza kujifunza masuala ya UTALII, USUSI au MAPISHI kwa mda mfupi (miezi 6) ama muda mrefu (miaka 2)na ukapata ujuzi unaokutosha kujua namna ya kuifanikisha ndoto yako. Vyeti utakavyopewa vinatambulika kitaifa! Ukijisajili nasi,tutakupa mafunzo ya matumizi ya Kompyuta BURE!! TUNAIJALI NDOTO YAKO! NJOO TUONGEE... TUPIGIE AU TUANDIKIE SMS:

Image
 

Chuo chini ya VETA kinatoa mafunzo ya mapishi juaa vitu mbali mbali ambavyo vina fanyika kwenye mahoteli makubwa yani 2 START, 3 STAR NA 4 STAR

Image
 

TANGAZO KWA WAHITIMU WA DARASA LA SABA NA FORM FOUR WALIOPO NYUMBANI BADO NA WANGEPENDA KUJIFUNZA MASOMO YA UTALII(TOURISM) , HOTELIA( HOUSE KEEPING, COOKERY, FOOD PRODUCTION AND BEVERAGES), USUSI( HAIR DRESSING AND BEAUTY) NA UALIMU WA WATOTO WADOGO......BADO TUNAPOLEA WANAFUNZI!!NJOO UJIANDIKISHE... 📞0768043682

Image
 

Our vision: To be a premier source of education, training and economic development that will enable our students to successfully enter the workforce.

Image
  Our vision: To be a premier source of education, training and economic development that will enable our students to successfully enter the workforce.

CHUO KIPO ARUSHA BARABARA YA OLD MOSHI UKITOKEA MJINI UNASHUKA KITUO CHA BOMA LA SIARA, UTAPOKELEWA

Image
 

chuo kinatoa kozi zifuatazo

Image
  HOTEL MANAGEMENT (HOTELIA) UALIMU WA NASARI    (ECDE) COMPUTER KOZI ZOTE. TOUR GUIDE NA TOUR OPERATOR SALOON AND BEAUTY.

Chuo cha Happylife college chini ya VETA (mafunzo kwa vitendo) kinawakaribisha wote kwa kozi za muda mfupi(short courze) na kozi za muda mrefu (long courze).

Image